ELIGIBILITY Individuals, Joint Account (Not more than 4), Proprietorship, Partnership, Company, Trust, Association or any other Institution WALENGWA Watu binafsi, akaunti ya pamoja (wahusika si zaidi ya wanne), biashara binafsi, makampuni ya ubia, makampuni, vyama au vikundi vilivyosajiliwa au visvyosajiliwa, mifuko /bodi za udhamini, mifuko ya serikali, wasimamizi wa mirathi na viongozi, mashirika ya serikali, idara za serikali, bodi za Wilaya, taasisi/asasi za dini na zile zinazofadhiliwa, shule
SPECIAL ACCOUNTS Provident Fund, Accounts of school/ Redcross Society, Accounts of Post Office, Accounts for issue of dividend/interest warrants. AKAUNTI MAALUM Mfuko wa serikalini, akaunti ya shule /taasisi ya msalaba mwekundu, akaunti ya Ofisi ya posta, akaunti kwa ajili ya suala la gawio/riba unahitajika.
PERIODICITY OF DEPOSIT Running( operative) account Kwa akaunti iliyo hai
INTEREST RATE Not eligible for interests KIWANGO CHA RIBA Hakuna riba
MINIMUM BALANCE TZS 100,000 & $100 for USD KIWANGO CHA CHINI TSH 100,000 na dola 100 kwa akaunti ya dola ya marekani
NOMINATION FACILITY Available for individual accounts, joint accounts, proprietorship accounts. ** Not available for accounts held in representative capacityviz.., partnerships, Joint Stock Companies, Associations, Clubs and other organizations UTEUZI Inapatikana kwa akaunti binafsi, akaunti ya pamoja, akaunti ya biashara binafsi. **Haitolewi kwa akaunti za uwakilishi, biashara ya ubia ..., vyama, vilabu na mashirika mengine
OTHER FACILITIES Pass Sheet, Standing instructions, Collection of local and outstation cheques( at the cost of account holder) EFT,TISS, Foreign Remittances etc. HUDUMA ZINGINE Taarifa za miamala, malekezo maalum, huduma za hundi za ndani na nje(kwa gharama za wamiliki wa akaunti), utumaji wa fedha ndani na nje ya chi kwa EFT na TISS nk.
APPLICATION AND DOCUMENTS Application in Bank’s prescribed form Photographs of account holders/authorised signatories(2 copies) Memorandum and articles of association, certificate of incorporation, Board Resolution, Partnership deed & certificate of registration ( wherever applicable), certificate/ licence issued by Municipal Authorities Proof of identity i.e passport, Driving licence, National ID, Voter registration card & address proof as per KYC norms MAOMBI NA NYARAKA Maombi katika fomu yaliyopendekezwa na kutolewa na benki Picha za wamiliki/watia saini wa akaunti, Randama ya Makubaliano, cheti cha usajili wa kampuni, mazimio ya bodi, hati ya ushirikiano, (popote inafaa), cheti / leseni iliyotolewa na mamlaka ya Manispaa Uthibitisho wa utambulisho yaani pasi ya kusafiria, leseni ya udereva, Kitambulisho cha Taifa, kadi ya usajili wa wapigakura & uthibitisho wa anuani kwa mujibu wa kanuni za benki kuu