ELIGIBILITY Individuals, Joint Account (Not more than 4), Minor Accounts represented by Guardians, Trusts, Executors and Administrators, Government Bodies, Recognized Pension Funds, Non Corporate Bodies viz. Clubs, Societies, Associations, School etc. WALENGWA Watu binafsi, akaunti ya pamoja, akaunti za watoto, akaunti za vipofu, wasiojua kusoma na kuandika, wasimamizi wa mirathi na viongozi, mashirika ya serikali, Idara za serikali , akaunti za fedha za pensheni, taasisi zisizo kampuni vilabu, vikundi na shule
MINIMUM BALANCES Average Monthly Balance of TZS 20000 Average Monthly Balance of USD 20 KIWANGO CHA CHINI wastani wa TZS 20000 kwa akaunti ya shilingi na dola 20 kwa akaunti ya dola, kwa mwezi
NATURE OF DEPOSIT Running ( operative) account ASILI YA AMANA Kwa akaunti iliyo hai
INTEREST RATE 2.5% for TZS 0.25% for USD (Currently) KIWANGO CHA RIBA 2.5% kwa akunti ya shilingi na 0.25% kwa akunti ya dola(kwa sasa)
PERIODICITY OF INTEREST PAYMENT Interest is payable Halfyearly, every December and June on the daily balance maintained in the account VIPINDI VYA MALIPO YA RIBA Riba italipwa mara mbili kwa mwaka ikiwa ni kila mwezi wa kumi na mbili na wa sita kulingana na salio katika akaunti yako.
WITH HOLDING TAXES Applicable shall be deducted KIWANGO CHA KODI Itakatwa kwa mujibu wa viwango husika
NOMINATION Available UTEUZI Inawezekana kuteua mrithi/msimamizi
OTHER FACILITIES Nomination,Standing instructions, cheque collection, instant Remittance to India, EFT, TISS HUDUMA ZINGINE Uteuzi, maelekezo ya kudumu, huduma ya hundi, kutuma fedha India kwa haraka, EFT, TISS
APPLICATION AND DOCUMENTS Application in Bank’s prescribed form, Two Photographs of Depositor, Proof of Identity i.e. Passport, Driving License, National ID, Voter Registration Card & Address Proof as per KYC Norms MAOMBI NA NYARAKA Maombi katika fomu yaliyopendekezwa na kutolewa na benki Picha za wamiliki/ watia saini wa akaunti (nakala 2 kila mmoja) Uthibitisho wa utambulisho yaani pasi ya kusafiria, leseni ya udereva, Kitambulisho cha Taifa, kadi ya usajili wa wapigakura pamoja na uthibitisho wa anuani kwa mujibu wa benki kuu