ELIGIBILITY |
Individuals, Joint Account (Not more than 4), Minor Account represented by Guardian, Proprietorship,Partnership, Company,Trust, Association or any other Institution |
WALENGWA |
Watu binafsi, akaunti za pamoja (si
zaidi ya 4), wazazi/walezi kwa niaba
ya watoto, ubia, kampuni, chama au
taasisi nyingine yoyote |
INVESTMENT |
Minmum- TZS 1 Million
or USD 500
Maximum- No Ceiling |
UWEKEZAJI |
Kiwango cha chini uwekezaji- Tsh1m
au Dola 500
Hakuna kiwacho cha juu cha
uwekezaji |
PERIOD OF DEPOSIT |
Minimum 3 Months
Maximum 120 Months |
MUDA WA
UWEKEZAJI |
Muda wa chini kabisa – miezi 6
Unaweza kuwekeza mpaka miezi 120 |
INTEREST
RATE |
Depending upon the
period of the Deposit
as prevailing from time
to time. |
KIWANGO
CHA RIBA |
kiwango cha riba kitategemea muda
wa uwekezaji, na kubadilika kwa
nyakati tofauti |
NOMINATION |
Available |
Mrithi |
Inawezekana kuwa na mrithi |
WHT on
Interest |
As Applicable shall be
deducted |
KODI |
Itakatwa kwa mujibu wa sheria za
kodi |
LOAN
FACILITY |
Available upto 90% of
the Deposit Amount |
MIKOPO
ITOLEWAYO |
Unaruhusiwa kukopa mpaka asilimia
90 ya amana yako |
PENALTY
FOR PREMATURE
CLOSURE |
Penal Provision Applicable
for Premature
Closure |
KUFUNGA
AKAUNTI
MAPEMA |
Makato kidogo yanafanyika endapo
mteja ataamua kufunga akaunti yake
kabla ya muda |
AUTO RENEWAL
OF
DEPOSIT |
Deposit shall be
renewed automatically
from the date of
maturity for a similar
period on date of
maturity at the rate of
interest applicable for
the period as on the
date of maturity, in the
absence of any renewal
instructions well in
advance |
KUFANYWA
UPYA KWA
UWEKEZAJI
MOJA KWA
MOJA |
Amana itafanyiwa uwekezaji mpya
moja kwa moja kwa kipindi sawa
na cha uwekezaji na kwa kiwango
cha riba kitakachokuwepo tarehe
ya ukomavu iwapo hakutakuwepo
maelekezo ya aina tofauti |
APPLICATION
AND
DOCUMENTS |
Application in the Bank’s
Prescribed Form
Photograph of
depositor/s
Proof of Identity and
Address as per KYC
Norms.
Any other related
documents as
applicable to
Proprietorship concern,
Partnership firm,
Company etc. |
MAOMBI NA
NYARAKA |
Ushahidi wa anwani kama kutokana
na kanuni za kibenki za utambuzi wa
mteja (KYC norms)
Picha ya muwekaji/s (nakala 2)
Uthibitisho/ utambulisho wa
mwekaji,
Yoyote nyaraka ifaayo kwa kampuni
binafsi ,kampuni ya ubia, HUF nk. |