ELIGIBILITY Individuals, Joint Account (Not more than 4), Minor Account represented by Guardian, Proprietorship,Partnership, Company,Trust, Association or any other Institution WALENGWA Watu binafsi, akaunti za pamoja (si zaidi ya 4), wazazi/walezi kwa niaba ya watoto, ubia, kampuni, chama au taasisi nyingine yoyote
INVESTMENT Minmum- TZS 1 Million or USD 500 Maximum- No Ceiling UWEKEZAJI Kiwango cha chini uwekezaji- Tsh1m au Dola 500 Hakuna kiwacho cha juu cha uwekezaji
PERIOD OF DEPOSIT Minimum 3 Months Maximum 120 Months MUDA WA UWEKEZAJI Muda wa chini kabisa – miezi 6 Unaweza kuwekeza mpaka miezi 120
INTEREST RATE Depending upon the period of the Deposit as prevailing from time to time. KIWANGO CHA RIBA kiwango cha riba kitategemea muda wa uwekezaji, na kubadilika kwa nyakati tofauti
NOMINATION Available Mrithi Inawezekana kuwa na mrithi
WHT on Interest As Applicable shall be deducted KODI Itakatwa kwa mujibu wa sheria za kodi
LOAN FACILITY Available upto 90% of the Deposit Amount MIKOPO ITOLEWAYO Unaruhusiwa kukopa mpaka asilimia 90 ya amana yako
PENALTY FOR PREMATURE CLOSURE Penal Provision Applicable for Premature Closure KUFUNGA AKAUNTI MAPEMA Makato kidogo yanafanyika endapo mteja ataamua kufunga akaunti yake kabla ya muda
AUTO RENEWAL OF DEPOSIT Deposit shall be renewed automatically from the date of maturity for a similar period on date of maturity at the rate of interest applicable for the period as on the date of maturity, in the absence of any renewal instructions well in advance KUFANYWA UPYA KWA UWEKEZAJI MOJA KWA MOJA Amana itafanyiwa uwekezaji mpya moja kwa moja kwa kipindi sawa na cha uwekezaji na kwa kiwango cha riba kitakachokuwepo tarehe ya ukomavu iwapo hakutakuwepo maelekezo ya aina tofauti
APPLICATION AND DOCUMENTS Application in the Bank’s Prescribed Form Photograph of depositor/s Proof of Identity and Address as per KYC Norms. Any other related documents as applicable to Proprietorship concern, Partnership firm, Company etc. MAOMBI NA NYARAKA Ushahidi wa anwani kama kutokana na kanuni za kibenki za utambuzi wa mteja (KYC norms) Picha ya muwekaji/s (nakala 2) Uthibitisho/ utambulisho wa mwekaji, Yoyote nyaraka ifaayo kwa kampuni binafsi ,kampuni ya ubia, HUF nk.