ELIGIBILITY Individuals, Joint Account (Not more than 4), Minor Account represented by Guardian, Proprietorship, Partnership, Company, Trust, Association or any other Institution WALENGWA Watu binafsi, akaunti za pamoja (si zaidi ya 4), wazazi/walezi kwa niaba ya watoto, HUF, ubia, kampuni, chama au taasisi nyingine yoyote
PATTERN OF DEPOSIT Minmum- TZS 50,000/= per Month No ceiling on maximum amount A fixed amount by way of monthly instalments deposited over a stipulated period MPANGILIO WA UWEKEZAJI Kiwango cha chini ha uwekezaji ni TZS 50,000/= kwa mwezi, hakuna kiwango cha juu cha uwekezaji uwekezaji wa kiwango maalum cha fedha kwa kila mwezi
PERIOD OF DEPOSIT Minimum 6 months & Maximum 120 months MUDA WA UWEKEZAJI Uwekezaji unaanzia miezi 6 mapaka miezi 120
INTEREST RATE As per Bank’s Card Rate KIWANGO CHA RIBA Kama ilivyo katika kadi ya benki
NOMINATION Available UTEUZI Unaruhusiwa kuteua mrithi/msimamizi
WITH HOLDING TAX Applicable shall be deducted KODI Itakatwa kwa mujibu wa sheria ya kodi
LOAN FACILITY Available upto 90% of the deposit amount MKOPO Kiasi cha mkopo ni asilimia 90 ya amana iliyowekezwa
PENALTY FOR PRE- MATURE CLOSURE A penalty of 1.00% will be levied for premature closure GHARAMA ZA UCHUKUZI WA AMANA ISIYOKOMAA Gharama ya kiasi cha asilimia 1 italipwa na mteja kama atahitaji kuchukua amana yake kabla ya muda wa ukomavu
APPLICATION AND DOCUMENTS Proof of identity and address as per KYC Norms, Photograph of depositor/s, Any other related documents as applicable to proprietor ship concern, partnership firm, Company, Association etc. MAOMBI NA NYARAKA Ushahidi wa anwani kama kutokana na kanuni za kibenki za utambuzi wa mteja (KYC norms) Picha ya muwekaji/s (nakala 2) Uthibitisho/ utambulisho wa mwekaji, Yoyote nyaraka ifaayo kwa kampuni binafsi ,kampuni ya ubia, HUF nk.