TheDetails

Feb 2, 2019

Current account akaunti ya biashara

ELIGIBILITY Individuals, Joint
Account (Not more
than 4), Proprietorship,
Partnership, Company,
Trust, Association or any
other Institution
WALENGWA Watu binafsi, akaunti ya pamoja
(wahusika si zaidi ya wanne),
biashara binafsi, makampuni
ya ubia, makampuni, vyama
au vikundi vilivyosajiliwa au
visvyosajiliwa, mifuko /bodi za
udhamini, mifuko ya serikali,
wasimamizi wa mirathi na
viongozi, mashirika ya serikali,
idara za serikali, bodi za Wilaya,
taasisi/asasi za dini na zile
zinazofadhiliwa, shule
SPECIAL
ACCOUNTS
Provident Fund, Accounts
of school/ Redcross
Society, Accounts of
Post Office, Accounts for
issue of dividend/interest
warrants.
AKAUNTI
MAALUM
Mfuko wa serikalini, akaunti
ya shule /taasisi ya msalaba
mwekundu, akaunti ya Ofisi ya
posta, akaunti kwa ajili ya suala
la gawio/riba unahitajika.
PERIODICITY
OF DEPOSIT
Running( operative)
account
Kwa akaunti iliyo hai
INTEREST
RATE
Not eligible for interests KIWANGO
CHA RIBA
Hakuna riba
MINIMUM
BALANCE
TZS 100,000 & $100 for
USD
KIWANGO
CHA CHINI
TSH 100,000 na dola 100 kwa
akaunti ya dola ya marekani
NOMINATION
FACILITY
Available for individual
accounts, joint accounts,
proprietorship accounts.
** Not available
for accounts held
in representative
capacityviz.., partnerships,
Joint Stock Companies,
Associations, Clubs and
other organizations
UTEUZI Inapatikana kwa akaunti binafsi,
akaunti ya pamoja, akaunti ya
biashara binafsi.
**Haitolewi kwa akaunti za
uwakilishi, biashara ya ubia …,
vyama, vilabu na mashirika
mengine
OTHER
FACILITIES
Pass Sheet, Standing
instructions, Collection
of local and outstation
cheques( at the cost of
account holder) EFT,TISS,
Foreign Remittances etc.
HUDUMA
ZINGINE
Taarifa za miamala, malekezo
maalum, huduma za hundi za
ndani na nje(kwa gharama za
wamiliki wa akaunti), utumaji
wa fedha ndani na nje ya chi
kwa EFT na TISS nk.
APPLICATION
AND
DOCUMENTS
Application in Bank’s
prescribed form
Photographs of account
holders/authorised
signatories(2 copies)
Memorandum and
articles of association,
certificate of
incorporation, Board
Resolution, Partnership
deed & certificate of
registration ( wherever
applicable), certificate/
licence issued by
Municipal Authorities
Proof of identity i.e
passport, Driving
licence, National ID,
Voter registration card &
address proof as per KYC
norms
MAOMBI NA
NYARAKA
Maombi katika fomu
yaliyopendekezwa na kutolewa
na benki
Picha za wamiliki/watia saini
wa akaunti, Randama ya
Makubaliano, cheti cha usajili
wa kampuni, mazimio ya bodi,
hati ya ushirikiano, (popote
inafaa), cheti / leseni iliyotolewa
na mamlaka ya Manispaa
Uthibitisho wa utambulisho
yaani pasi ya kusafiria, leseni ya
udereva, Kitambulisho cha Taifa,
kadi ya usajili wa wapigakura
& uthibitisho wa anuani kwa
mujibu wa kanuni za benki kuu