TheDetails

Feb 2, 2019

FIXED DEPOSIT /AKAUNTI ZA MUDA MAALUMU

 

ELIGIBILITY Individuals, Joint Account (Not more than 4), Minor Account represented by Guardian, Proprietorship,Partnership, Company,Trust, Association or any other Institution WALENGWA Watu binafsi, akaunti za pamoja (si
zaidi ya 4), wazazi/walezi kwa niaba
ya watoto, ubia, kampuni, chama au
taasisi nyingine yoyote
INVESTMENT Minmum- TZS 1 Million
or USD 500
Maximum- No Ceiling
UWEKEZAJI Kiwango cha chini uwekezaji- Tsh1m
au Dola 500
Hakuna kiwacho cha juu cha
uwekezaji
PERIOD OF DEPOSIT Minimum 3 Months
Maximum 120 Months
MUDA WA
UWEKEZAJI
Muda wa chini kabisa – miezi 6
Unaweza kuwekeza mpaka miezi 120
INTEREST
RATE
Depending upon the
period of the Deposit
as prevailing from time
to time.
KIWANGO
CHA RIBA
kiwango cha riba kitategemea muda
wa uwekezaji, na kubadilika kwa
nyakati tofauti
NOMINATION Available Mrithi Inawezekana kuwa na mrithi
WHT on
Interest
As Applicable shall be
deducted
KODI Itakatwa kwa mujibu wa sheria za
kodi
LOAN
FACILITY
Available upto 90% of
the Deposit Amount
MIKOPO
ITOLEWAYO
Unaruhusiwa kukopa mpaka asilimia
90 ya amana yako
PENALTY
FOR PREMATURE
CLOSURE
Penal Provision Applicable
for Premature
Closure
KUFUNGA
AKAUNTI
MAPEMA
Makato kidogo yanafanyika endapo
mteja ataamua kufunga akaunti yake
kabla ya muda
AUTO RENEWAL
OF
DEPOSIT
Deposit shall be
renewed automatically
from the date of
maturity for a similar
period on date of
maturity at the rate of
interest applicable for
the period as on the
date of maturity, in the
absence of any renewal
instructions well in
advance
KUFANYWA
UPYA KWA
UWEKEZAJI
MOJA KWA
MOJA
Amana itafanyiwa uwekezaji mpya
moja kwa moja kwa kipindi sawa
na cha uwekezaji na kwa kiwango
cha riba kitakachokuwepo tarehe
ya ukomavu iwapo hakutakuwepo
maelekezo ya aina tofauti
APPLICATION
AND
DOCUMENTS
Application in the Bank’s
Prescribed Form
Photograph of
depositor/s
Proof of Identity and
Address as per KYC
Norms.
Any other related
documents as
applicable to
Proprietorship concern,
Partnership firm,
Company etc.
MAOMBI NA
NYARAKA
Ushahidi wa anwani kama kutokana
na kanuni za kibenki za utambuzi wa
mteja (KYC norms)
Picha ya muwekaji/s (nakala 2)
Uthibitisho/ utambulisho wa
mwekaji,
Yoyote nyaraka ifaayo kwa kampuni
binafsi ,kampuni ya ubia, HUF nk.