TheDetails

Feb 6, 2019

INTERNATIONAL BANKING SERVICES (HUDUMA ZA KIBENKI ZA KIMATAIFA)

Canara Bank (T) Ltd is a wholly owned
subsidiary of Canara Bank India, it
commenced its operations in Tanzania
on 9th May, 2016
Benki ya Canara Tanzania ni kampuni
tanzu ya Canara benki ya India, ilianza
shughuli zake Tanzania mnamo tarehe
9 Mei, 2016
* We finance export at pre-shipment
stage as well as post-shipment stage,
which can be availed either in Foreign
currency or Local currency;
* Tunawezesha uhamishwaji wa fedha
katika awamu ya kabla au baada ya
usafirishwaji wa bidha kwenda nje ya
nchi, ambapo mteja unajihakikishia
kupata fedha za kigeni au sarafu ya
ndani, kabla/baada ya bidhaa husika
haijasafirishwa. Benki yetu pia inawezesha;
The Bank not only finances at
customers option in foreign
currency at pre-shipment and Postshipment
stages but also finance
the import leg in foreign currency
where imported inputs are required
for exports.
Uhamishwaji wa fedha katika
awamu ya kabla au baada ya
usafirishwaji wa bidha kutoka nje ya
nchi kwa ajili ya matumizi ya ndani
au pale ambapo malighafi toka nje
inahitajika kwa ajili ya utengenezaji
wa bidhaa ya kusafirishwa nje ya
nchi, ambapo mteja atanufaika na
huduma zetu zenye kuzingatia tozo.
Non fund based transactions like
adding confirmations to LC, issuing
inward and outward Bid bonds &
guarantees, establishing LCs for
import to India, arranging buyer’s
credit at attractive terms etc. are our
forte
**The above Services are offered at
attractive cost to the customers of
the bank subject to the Bank’s policies
and exchange control/ provision laid
down by the Regulatory Authorities
from time to time.
Canara Bank has Branches in
Newyork, London, Bahrain, Leicester,
Johanesburg, Hong Kong, Moscow &
Shanghai
Mihamala isiyohusisha pesa kama
kuongeza uthibitisho wa LC, kutoa
dhamana (vifungio) za ndani na nje,
kuanzisha LCs kwa ajili ya kuagiza
bidhaa toka India, kutoa mikopo ya
manunuzi kwa masharti ya nafuu nk.
**Huduma hapo juu zinazotolewa kwa
gharama ya kuvutia kwa wateja wa
benki chini ya sera na kanuni za kubadilishana
(udhibiti ) utoaji wa pesa zinazotolewa
na mamlaka ya usimamizi
mara kwa mara.
Canara benki ina matawi kadhaa mjini
Newyork, London, Bahrain, Leicester,
Johanesburg, Hong Kong, Shanghai
na Moscow
REMIT MONEY TO INDIA TUMA FEDHA KWENDA INDIA
1. Web based remittance to India
2. Faster and hassle free remittance
3. Affordable charges
4. Market beating exchange rates
5. Secured transfer
1.Uhamisha ji wa fedha kwa njia ya
mtandao kwenda India
2. Kwa haraka bila usumbufu wowote
Kwa ghrama nafuu
3. Viwango bora vya ubadilhaji fedha
za kigeni
4. Uhakika wa usalama katika kuhamisha
fedha