TheDetails

Feb 2, 2019

RECURRING DEPOSITS / HABA NA HABA

ELIGIBILITY Individuals, Joint
Account (Not more
than 4), Minor
Account represented
by Guardian,
Proprietorship,
Partnership,
Company, Trust,
Association or any
other Institution
WALENGWA Watu binafsi, akaunti
za pamoja (si zaidi ya
4), wazazi/walezi kwa
niaba ya watoto, HUF,
ubia, kampuni, chama
au taasisi nyingine
yoyote
PATTERN OF
DEPOSIT
Minmum- TZS
50,000/= per Month
No ceiling on maximum
amount
A fixed amount by
way of monthly
instalments deposited
over a stipulated
period
MPANGILIO
WA
UWEKEZAJI
Kiwango cha chini
ha uwekezaji ni TZS
50,000/= kwa mwezi,
hakuna kiwango cha
juu cha uwekezaji
uwekezaji wa kiwango
maalum cha fedha kwa
kila mwezi
PERIOD OF
DEPOSIT
Minimum 6 months
& Maximum 120
months
MUDA WA
UWEKEZAJI
Uwekezaji unaanzia
miezi 6 mapaka miezi
120
INTEREST RATE As per Bank’s Card
Rate
KIWANGO
CHA RIBA
Kama ilivyo katika kadi
ya benki
NOMINATION Available UTEUZI Unaruhusiwa kuteua
mrithi/msimamizi
WITH HOLDING
TAX
Applicable shall be
deducted
KODI Itakatwa kwa mujibu
wa sheria ya kodi
LOAN FACILITY Available upto
90% of the deposit
amount
MKOPO Kiasi cha mkopo ni
asilimia 90 ya amana
iliyowekezwa
PENALTY FOR
PRE- MATURE
CLOSURE
A penalty of 1.00%
will be levied for
premature closure
GHARAMA
ZA
UCHUKUZI
WA AMANA
ISIYOKOMAA
Gharama ya kiasi cha
asilimia 1 italipwa na
mteja kama atahitaji
kuchukua amana yake
kabla ya muda wa
ukomavu
APPLICATION
AND DOCUMENTS
Proof of identity and
address as per KYC
Norms, Photograph
of depositor/s,
Any other related
documents as
applicable to
proprietor ship
concern, partnership
firm, Company,
Association etc.
MAOMBI NA
NYARAKA
Ushahidi wa anwani
kama kutokana na
kanuni za kibenki za
utambuzi wa mteja
(KYC norms)
Picha ya muwekaji/s
(nakala 2)
Uthibitisho/ utambulisho
wa mwekaji,
Yoyote nyaraka ifaayo
kwa kampuni binafsi
,kampuni ya ubia,
HUF nk.