TheDetails

Feb 2, 2019

Savings Accounts / Akaunti ya Akiba

ELIGIBILITY Individuals, Joint Account
(Not more than 4), Minor
Accounts represented by
Guardians, Trusts, Executors
and Administrators,
Government Bodies,
Recognized Pension
Funds, Non Corporate
Bodies viz. Clubs, Societies,
Associations, School etc.
WALENGWA Watu binafsi, akaunti
ya pamoja, akaunti
za watoto, akaunti za
vipofu, wasiojua kusoma
na kuandika, wasimamizi
wa mirathi na viongozi,
mashirika ya serikali,
Idara za serikali , akaunti
za fedha za pensheni,
taasisi zisizo kampuni
vilabu, vikundi na shule
MINIMUM
BALANCES
Average Monthly Balance
of TZS 20000
Average Monthly Balance
of USD 20
KIWANGO
CHA CHINI
wastani wa TZS 20000
kwa akaunti ya shilingi
na dola 20 kwa akaunti
ya dola, kwa mwezi
NATURE OF
DEPOSIT
Running ( operative)
account
ASILI YA
AMANA
Kwa akaunti iliyo hai
INTEREST
RATE
2.5% for TZS
0.25% for USD (Currently)
KIWANGO
CHA RIBA
2.5% kwa akunti ya
shilingi na 0.25% kwa
akunti ya dola(kwa sasa)
PERIODICITY
OF
INTEREST
PAYMENT
Interest is payable
Halfyearly, every December
and June on the daily
balance maintained in the
account
VIPINDI
VYA
MALIPO YA
RIBA
Riba italipwa mara mbili
kwa mwaka ikiwa ni kila
mwezi wa kumi na mbili
na wa sita kulingana na
salio katika akaunti yako.
WITH
HOLDING
TAXES
Applicable shall be
deducted
KIWANGO
CHA KODI
Itakatwa kwa mujibu wa
viwango husika
NOMINATION Available UTEUZI Inawezekana kuteua
mrithi/msimamizi
OTHER
FACILITIES
Nomination,Standing
instructions, cheque
collection, instant
Remittance to India, EFT,
TISS
HUDUMA
ZINGINE
Uteuzi, maelekezo
ya kudumu, huduma
ya hundi, kutuma
fedha India kwa haraka,
EFT, TISS
APPLICATION
AND
DOCUMENTS
Application in Bank’s
prescribed form, Two
Photographs of Depositor,
Proof of Identity i.e.
Passport, Driving
License, National ID,
Voter Registration Card &
Address Proof as per KYC
Norms
MAOMBI
NA
NYARAKA
Maombi katika fomu
yaliyopendekezwa na
kutolewa na benki
Picha za wamiliki/ watia
saini wa akaunti (nakala
2 kila mmoja)
Uthibitisho wa
utambulisho yaani pasi
ya kusafiria, leseni ya
udereva, Kitambulisho
cha Taifa, kadi ya usajili
wa wapigakura pamoja
na uthibitisho wa
anuani kwa mujibu wa
benki kuu